logo
Developing stories

Nelson Marwa na gavana Joho watofautiana

By For Citizen Digital

Kamishna wa kaunti ya Mombasa Nelson Marwa amesema kuwa sharti maafisa wa trafiki wa kaunti ya Mombasa waondoke kwenye barabara za mji huo.
Marwa amesema kuwa kuwepo kwa maafisa hao wa kaunti katika barabara hizo kunahujumu kazi ya maafisa wa trafiki. Haya yanajiri huku gavana wa mombasa hassan Ali Joho akimkashifu marwa na kumlaumu kwa utumizi mbaya wa mamlaka. Steven Letoo na tarifa hiyo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelBy Citizen Reporter More by this authorMost RecentSponsored Content