NEMA yaonesha vikapu visivyoharibu mazingira


Serikali kupitia wizara ya mazingira na halmshauri ya NEMA hii leo imeandaa maonyesho yaliyoanza siku ya leo na kutarajiwa kuisha kesho ya baadhi ya watengezaji wa mifuko isiyo ya plastiki kama mbinu ya kukabiliana na marufuku inayonukia iliyofanyika katika jumba la KICC. Na kama anavyaoarifu mwanahabari Saida Swaleh baadhi ya wafanyibiashara huenda wana majawabu ya siri ya kuhifadhi vyakula majumbani baada ya kuvinunua dukani.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Saida Swaleh
More by this author