NEMA yazidisha oparesheni dhidi ya vilabu vinavyotoa kelele nyingi


Halmashauri ya usimamizi wa mazingira nchini NEMA ameahidi kuzidisha vita dhidi ya udhia utokanao na kelele kwenye maeneo ya burudani. NEMA imesema kuwa itazidi kuendesha opresheni za kufunga, kuwakamata na kuwashtaki wamiliki na wasimamizi wa vilabu vitakavyokiuka sheria zilizopo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: FEATURE: KAYA Forest conservation through culture

Story By Patrick Igunza
More by this author