Ngome za NASA zaanza kutikisika baada ya mpangilio kutolewa

Siku moja tu baada ya muungano wa NASA kuzindua mgombea wake wa urais na mpangilio wa serikali katika maandalizi ya uchaguzi wa Agosti mwaka huu, baadhi ya viongozi kutoka maeneo ya ukambani na magharibi mwa Kenya wamekosoa mpangilio huo wakisema walihadaiwa. Kingozi wa wachache bungeni Francis Nyenze anasema jamii ya wakamba ilidanganywa kwa kupewa nafasi ya pili huku kiongozi wa chama cha UDP Cyrus Jirongo akisema ataongoza viongozi wengine kutoka magharibi kujiunga na Jubilee au kuwasilisha mgombea wa urais kutoka ukanda huo.

Tags:

raila odinga kalonzo musyoka NASA Musalia Mudavadi cyrus jirongo Francis Nyenze

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories