Niabu Rais Awashtaki Viongozi 5 Wa CORD

Naibu rais William Ruto amewasilisha kesi mahakamani akitaka wanasiasa watano wa mrengo wa CORD kumuomba msamaha na kulipa fidia kwa kumharibia jina walipomhusisha na sakata ya unyakuzi wa ardhi ya Karen. Ruto anasema kuwa wanasiasa hao maseneta Johnstone Muthama, Bonny Khalwale, Elizabeth Ongoro, James Orengo na Mbunge wa Suna Junet Mohammed walimletea aibu kwa kumtaja miongoni mwa walionyakuwa ardhi hiyo, sasa akiitaka mahakama kuwashinikiza kuomba msamaha na kulipa fidia ya kumharibia jina.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories