Njaa yakithiri Turkana

Hali ya kiangazi inazidi kuwakera wakazi wa Turkana hasa katika kijiji cha Lopii. Maelfu ya mifugo wameangamia huku matumaini ya mvua kunyesha yakiendelea kudidimia. Chakula cha msaada ni nadra kwa wakazi na iwapo hali hii itaendelea huenda baadhi yao wakachungulia kaburi. Mwanahabari wetu Emmanuel cheboit ameandaa taarifa hiyo kwa mapana na marefu.

Tags:

turkana ukame Kiangazi njaa

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories