Njaa yanukia, viwavi wakiendelea kuvamia mahindi


Wakulima wa mahindi kutoka eneo la kaskazini mwa kuresoi kaunti ya Nakuru wametoa onyo kwa serikali kuwa kuna uwezekano wa kukosa mahindi ya kutosha kufikifikia mwaka ujao kwa sababu ya uvamizi wa viwavi walioharibu mahindi mashambani.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: High amounts of Mercury, Copper found in contraband sugar

Story By Kadzo Gunga
More by this author