Nkaissery awaleta pamoja viongozi wa Kimaasai

Viongozi wa chama cha jubilee kutoka kaunti ya narok na Kajiado hii

Leo walikutana katika eneo la ilbisil kukipigia debe chama cha Jubilee. Maelfu walijitokeza nyumbani kwake waziri wa usalama joseph nkaiserry katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya.

Stephen Letoo alikuweko kwenye sherehe hiyo na kutuandalia  taarifa ifuatayo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories