Nkaissery awaonya wenye vilabu dhidi ya kuzuilia vitambulisho

Waziri wa usalama wa ndani Joseph Nkaisserry amewaamuru wauzaji vinywaji kote nchini ambao wamezuia vitambulisho vya wateja wao kuwarudishia mara moja. Waziri Nkaissery ambaye alizuri kaunti ya Kiambu amesema kuwa ni hatia kuzuilia kitambulisha cha mtu yeyote kwa kushindwa kulipia vinywaji au hata malipo ya huduma hospitalini.

Tags:

Usajili wa wapigakura uchaguzi mkuu Vitambulisho

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories