NTSA yafutilia mbali leseni za magari ya Ongata line

Siku moja tu baada ya ajali kutokea katika barabara kuu ya Lang’ata na kupelekea vifo vya watu wanne huku wengine wanne wakisalia na majeraha mabaya, halmashauri ya uchukuzi na usalama barabarani (NTSA) hii leo imefutiliambali leeni ya shirika la Ongata Line linalomiliki matatu iliyohusika katika ajali hiyo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories