Nyeri yapata Gavana mpya

Balozi Samuel Wamathai ameapishwa kuwa gavana mpya wa kaunti ya Nyeri kufuatia kifo cha aliyekuwa Gavana Nderitu Gachagua  aliyefariki ijumaa iliopita katika hospitali moja huko london, uingereza.

Haya yanajiri huku  nduguye mwendazake gachagua rigathi akiwasuta baadhi ya  wanasiasa kutoka kaunti hiyo wanamwomboleza gavana gachagua licha ya kuwa walimkejeli akiwa hai, na hata kuongoza njama ya kumwondoa afisini.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories