Nyuki wavamia watu nje ya mahakama


Huku majaji wa mahakama ya upeo wakisoma hukumu yao kikamilifu, kizaazaa kilizuka nje ya mahakama hiyo pale ambapo bumba la nyuki liliwavamia waandamanaji, wanahabari na hata maafisa wa polisi baada ya kuchokorwa na waandamanaji waliokuwa wakikwepa ukali wa vitoa machozi walivyorushiwa baada ya kuzua rabsha.
OCPD wa Lang’ata Elija Mwangi, alijipata pabaya baada ya kushambuliwa na wadududu hao wenye hasira.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Hassan Mugambi
More by this author