Nyumba Yaporomoka Huruma

Rais Uhuru Kenyatta ameshurutisha wizara ya ardhi, nyumba na ustawishaji wa maeneo ya miji kuanzisha ukaguzi wa majengo yote yaliyoko hapa mjini ili kuthamnini ubora. Hii ni kufuatia kuporomoka kwa jengo lingine kwenye eneo la huruma hapa jijini. Kwa mujibu wa gavana wa nairobi daktari evans kidero jopo maalum tayari limeundwa ili kutambua majengo yaliyostawishwa bila kufuata utaratibu unaofaa.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories