Odinga apendekezwa kwa 68% kupeperusha bendera ya NASA Infotrak

Muungano wa upinzani National Super Alliance ,NASA, huenda ukawa na wakati mgumu iwapo mapendekezo yaliyotolewa na baadhi ya viongozi wa NASA kutaka uteuzi wa pamoja wa viongozi wanaovimezea mate viti mbali mbali yatakosa kutimizwa. Baadhi ya maeneo kama Mombasa,Kakamega na hata Garissa, wawaniaji wa ugavana wanatarajiwa kutifua kivumbi kwenye muungano huo. Huku hayo yakijiri kinara wa ODM amewapiku wenzake kwa kupendekezwa na asilimia 68 ya wafuasi wa NASA kupeperusha bendera ya muungano huo.

Tags:

raila odinga NASA Infotrak

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories