Odinga apokelewa kwa mbwembwe kutoka JKIA

Hatimaye kinara wa NASA Raila Odinga amewasili humu nchini kutoka marekani japo amepokelewa na vitoza machozi na makabiliano baina ya wafuasi wa NASA na polisi. Japo mkutano uliopangiwa kufanyika katika bustani ya uhuru haukufanyika, wafuasi wa NASA walimsindikiza Odinga kupitia bara bara tofauti tofauti jijini Nairobi hadi alipowahutubia katika eneo la upper hill.

Tags:

raila odinga Police Teargas Upper Hill uhuru park

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories