Odinga asema Waiguru analindwa na serikali


Mkwaruzano kati ya jubilee na mrengo wa upinzani kuhusu vita dhidi ya ufisadi umechukua mwelekeo mpya, huku kinara wa cord raila odinga akidai sakata ya nys ni mradi wa kibinafsi wa rais uhuru kenyatta. Odinga amedai rais anamkinga aliyekuwa waziri wa ugatuzi anne waiguru asishtakiwe, ilhali maafisa wote waliohusishwa kwa njia moja au nyingine kwenye sakata ya nys wamefunguliwa mashtaka. Haya yanajiri huku wahusika wawili wakuu wa sakata hii adan harakhe na hassan noor waliokuwa mafichoni wakikamatwa na kufikishwa mahakamani.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Former sports CS Hassan Wario convicted over Rio games scam

Avatar
Story By Francis Gachuri
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *