Odinga sasa anataka kubuniwe serikali ya mpito


Kinara wa NASA Raila Odinga sasa anapendekeza kubuniwa kwa serikali ya mpito itakayojumuisha mirengo ya Jubilee na NASA, serikali hiyo ikihudumu kwa kipindi cha miezi sita ili kulipa taifa nafasi ya kufanyia mabadiliko mfumo wa uchaguzi ili kuandaa marudio ya kinyanganyiro cha urais hapo baadaye. Odinga alitaja hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano na shirika la habari la Reuters.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Makori Ongechi
More by this author