Odinga: umri wangu sio kizuizi

Kiongozi wa odm raila odinga amesema  umri si kizuizi cha yeye kuwania urais. Akimjibu rais kenyatta ambaye alimtaka ajiuzulu kutokana na umri wake, Odinga amesema kuwa suala la uongozi huamuliwa na wananchi na kuwataka wana jubilee kujitayarisha kwa kivumbi kikali katika uchaguzi mkuu ujao.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories