ODM chakamilisha maandalizi ya kura za mchujo Bungoma na Busia


Maandalizi ya mchujo wa chama cha ODM katika kaunti za Bungoma na Busia yalikuwa yamekamilika hata  baada ya IEBC kupinga zoezi hilo kuanza kabla ya tarehe 13 mwezi huu. Mwanahabari wetu Steven Letoo yuko Bungoma na ameandaa taarifa ifuatayo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEBS MD says no mercury found in sugar

Story By Stephen Letoo
More by this author