logo
Developing stories

ODM yatii amri ya IEBC na kuahirisha kura za mchujo

By For Citizen Digital

Chama cha ODM kimesalimu amri na kuahirisha chaguzi za mchujo zilizokuwa zimeratibiwa kung’oa nanga hapo kesho. Sasa teuzi hizo zitaandaliwa kuanzai tarehe 13 hadi tarehe 25 mwezi huu, kama chama kilivyoagizwa na tume ya uchaguzi nchini-IEBC. Aidha, ODM kimewaagiza angalau wanasiasa 10 wakuu kufika mbele ya kamati ya nidhamu siku ya Jumatatu, kujibu mashtaka ya kuchochea vurugu na uhuni.

Also Read: Pareno: Nyong’o, Awiti na Rasanga walishinda ugavana

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelBy Francis Gachuri More by this authorMost RecentSponsored Content