ODM yatoa ratiba ya uteuzi wa wagombea viti

Chama cha ODM kimetoa ratiba ya uteuzi wa wagombea wa viti mbalimbali vya kisiasa kwa tikiti ya chama hicho, huku chama cha FORD Kenya kikiwataka wakenya waache kudadisi sana kuhusu ni nani atakayepeperusha bendera ya muungano wa NASA katika kiny’ang’anyiro cha urais kwani jawabu litatolewa hivi karibuni na kamati iliyoteuliwa kufanya kazi hiyo.

Tags:

odm NASA mchujo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories