Omieri wa miaka ya 80 azinduliwa kwa umma

Nyoka mkubwa zaidi kuwai kugunduliwa Afrika maarufu kama Omieri ametolewa katika hifadhi alimokuwa na kuletwa ili kuonekana na umma. Nyoka huyo aina ya chatu na ambaye alipatikana Nyakach alifariki miaka thelathini iliyopita. Kumekuwa na semi tofauti kuhusiana na joka hilo ambalo wenyeji wa Nyakach walilihusisha na nguvu zisizo za kawaida.

Tags:

Omieri

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories