Onyo kwa wanasiasa wenye chuki

Tume ya kitaifa ya uwiano na utangamano nchini NCIC,imeeleza hofu yake kuhusiana na kuongezeka kwa jumbe za chuki zinazoenezwa kupitia  mitandao tofauti ya kijamii, jumbe ambazo pia tume hiyo inasema zimekithiri katika redio zinazotangaza kwa lugha asili za jamii tofauti.

Tags:

NCIC Joseph Nkaissery Ethnicity Hatespeech ukabila

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories