Oparesheni ya usalama Baringo

Huku oparesheni kali ikiendelezwa katika kaunti ya baringo kusaka silaha zinazomilikiwa kinyume cha sheria, eneo la chebilat katika kaunti hiyo bado linakadiria hasara iliyotokana na mapigano makali yaliyoshuhudiwa baina ya maafisa wa usalama na majambazi jumanne iliyopita.

 

 

Mapigano hayo yaliyonaswa kupitia njia ya simu na mmoja wa wafanyikazi wa kampuni ya kutengeneza barabara, yalipelekea uharibifu mkubwa katika eneo hilo.

 

 

Haya yanajiri huku walitoroka makwao wakimshtaki  mbunge wa tiati na spika wa baringo kwa tuhuma za uchochezi.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories