Operesheni ya kuhakikisha wanafunzi wamerudi shuleni yaimarishwa pwani


Mshirikishi mkuu wa polisi kanda ya pwani Nelson Marwa ametoa onyo kali kwa wazazi watakaokiuka amri ya wizara ya elimu ya kuwapeleka watoto shule. Haya yanajiri huku serikali ikitangaza kuanza usambazaji wa vitabu na vifaa vya mtaala mpya wa elimu wiki ijayo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Man allegedly killed by uncle over Ksh.9M insurance cover #MurderForProfit

Story By Citizen Team
More by this author