Otiende azikwa nyumbani kwake Kegoye, Vihiga

Aliyekuwa waziri wa kwanza wa elimu Joseph Daniel Otiende amezikwa hii leo katika kijiji cha Kegoye kaunti ya Vihiga. Otiende alifariki wiki jana baada ya kuugua kwa muda mrefu. Viongozi wa muungano mkuu wa NASA walijiunga na familia ya mwendazake kumpa mkono wa buriani . Na kama ilivyo ada mazishi yake yaligeuzwa kuwa ukumbi wa siasa.

Tags:

NASA Vihiga Otiende waziri wa kwanza wa elimu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories