Ouko kikaangoni

Kamati ya bunge ya fedha hii leo iliwahoji maafisa wa tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC katika mahojiano ya kumbandua ofisini mhasibu mkuu wa pesa serikalini Edward Ouko. Naibu mkurugenzi wa EACC Michael Mubea aliiambia kamati hiyo kuwa Ouko bado yuko mashakani hata baada ya kiongozi wa mashtaka Keriako Tobiko kutupilia mbali pendekezo la EACC la kumfungulia mashtaka Edward Ouko.

Tags:

EACC Keriako Tobiko Edward Ouko Michael Mubea

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories