Pacha waliotenganishiwa hospitalini Kenyatta waruhusiwa kwenda nyumba


Pacha waliofanyiwa upasuaji wa  kutenganishwa mwaka jana katika hospitali ya Kenyatta, Favor na Blessing, wameruhusiwa kuondoka hospitalini humo hii leo. Watoto hao waliozaliwa  wakiwa wameshikana katika sehemu za chini za migongo yao walisalia katika hali hiyo kwa kipindi cha miaka miwili kabla ya madaktari kufanikiwa kuwatenganisha.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: CBK\'s guidelines on how to return 1000 notes

Avatar
Story By Citizen Team
More by this author