Pacha wapata afueni

 

 

Hatimaye  pacha waliokuwa wameshikana katika sehemu ya chini ya kiuno wameondolewa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi na kupelekwa kwenye wodi ya watoto wiki mbili baada ya kufanyiwa upasuaji. Na kama anavyoarifu saida swaleh madaktari wanasema wana imani kuwa baada ya mazoezi ya misuli watoto hao  watakuwa sawa.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories