Pareno: Nyongo, Awiti na Rasanga walishinda ugavana

Profesa Anyang’ Nyong’o na gavana Cyprian Awiti watapata nafasi ya kupeperusha bendera ya chama cha ODM katika knyang’anyiro cha Agosti baada ya bodi ya uchaguzi ya chama hicho kuwatangaza kuwa washindi kufuatia rufaa kuhusiana na michujo ya ODM. Uamuzi wa bodi hiyo unajiri wakati ambapo jopo la rufaa lilikuwa nimeamua kuwa mgogoro huo utatuliwe na kamati kuu ya chama cha ODM. Maamuzi ya bodi ya uchaguzi kuwatangaza John Mbadi na Moses Kajwang’ kuwa washindi yalikiuka mapendekezo ya jopo hilo la rufaa ambalo lilikuwa limebatilisha chaguzi hizo na kuamuru zirudiwe tena

Tags:

odm kisumu Anyang Nyongo Jack Ranguma

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories