Pasipoti mpya ya Afrika Mashariki yazinduliwa


Kenya hii leo imezindua paspoti mpya kabisa za kielektroniki kufuatia makubaliano ya nchi za Afrika Mashariki kwamba wananchi wake wawe na vibali sawa vya kusafiri nje ya nchi. Sasa unatakiwa kuwa na pasipoti hii ifikiapo mwezi Desemba 2018.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Citizen Team
More by this author