Pato makaburini

Wakati mtu anapofariki huhitajika kuzikwa Kwake nyumbani au makaburini. Watu wengi huyaogopa maziara wasitake kurudi hapo tena baada ya mazishi. Lakini kuna wale ambao huchimba na kuyachunga makaburi ili kupata mkate wao wa kila siku. John Wanyama anaangazia maisha ya baadhi ya watu wanaofanya kazi makaburini.

Tags:

Uasin Gishu eldoret makaburi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories