Peter Kenneth ataka mazungumzo yafanyike Jubilee

Seneta wa nairobi mike Sonko ametupilia mbali madai kuwa huenda akawa mgombea mweza wa Peter Kenneth katika kinyanganyiro cha ugavana Nairobi.

Sonko amesema kuwa yuko tayari kupimana nguvu na aliyekuwa mbunge wa gatanga Peter Kenneth katika mchujo wa jubilee. Stephen Letoo na taarifa hiyo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories