Peter Kenneth azidi kutoa ishara za kisiasa

Mwanasiasa Peter Kenneth  mapema leo amejumuika na waumini katika kanisa la st ann’s mwiki kwa ibada ya jumapili. Baadaye mwanasiasa huyo anayetarajiwa kugombea kiti cha ugavana hapa Nairobi alitangamana na wafuasi wake na kama walivyo wanasiasa wengine, kenneth alishikia bango suala la ufisadi huku akihimiza serikali kujitahidi zaidi katika kuhakikisha kuwa wafisadi wote wanakamatwa na kuwajibishwa kisheria.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories