Polisi awashawishi wahalifu warudishe silaha


Huku joto la kisiasa likizidi kuongezeka kabla ya marudio ya uchaguzi wa urais, afisa mmoja wa polisi katika kaunti ya Trans Nzoia ameanzisha mchakato wa kuhubiri amani miongoni mwa wakazi wa eneo hilo kabla na baada ya uchaguzi huo. Na kama anavyoarifu Collins Shitiabayi afisa huyo anazunguka nyumba kwa nyumba akiwahamasiha wakazi wasikubali kuchochewa kuzua ghasia.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Collins Shitiyabayi
More by this author