Polisi wa kuzima fujo wazingira bunge

Bunge la seneti alasiri hii limechukua uamuzi wa kuahirisha mjadala wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi na hivyo kupunguza jazba za kisiasa zilizokuwa zinatishia umoja na mshikamano miongoni mwa wanasiasa na wananchi.

Tags:

bunge

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories