Polisi waendelea na uchunguzi kuhusu mauaji ya watoto 3

Polisi wanachunguza idhibati zinazonyoosha kidole cha lawama kwa kakake mzazi wa watoto watatu waliopatikana wamefariki kwenye mto wa nzoia wiki moja baada ya kupotea kwao. Hata hivyo familia inaitaka polisi kutolenga upande mmoja tu na kuchunguza kwa makini kabla ya kupapia mlo. Saida swaleh na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories