Polisi wahojiwa kuhusu umiliki wa magari ya uchukuzi

Maafisa wengi wa polisi wanazidi kushindwa kuelezea tume ya huduma za polisi vyanzo vya pesa walizopokea katika simu zao.Haya yamejiri hii leo katika shugli ya kuwapiga msasa maafisa wa trafiki eneo la magharibi amabpo afisa mmoja ameshindwa kuelezea ni vipi alipokea shilingi milioni 3.2 kwa mwaka mmoja.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories