Polisi walaumiwa kwa kutumia nguvu kupita kiasi


Mamlaka huru ya kutathmini mienendo na nidhamu ya polisi I-POA imeanzisha uchunguzi kubaini iwapo polisi walitumia nguvu kupita kiasi kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi. Hatua hii imesababioshwa na kuenea kwa picha na video zinazoonyesha polisi wakiwapiga kitutu baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho waliokuwa wakiandamana hapo jana.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Patrick Igunza
More by this author