Polisi waliofariki Lamu, Garissa na Mandera wafanyiwa maombi

Waziri wa usalama Joseph Nkaissery ameapa kuwaangamiza wanamgambo wa Al Shabaab wanaotekeleza mashambulizi katika mpaka wa Kenya na Somalia. Akizungumza wakati wa ibada  ya wafu kwa niaba ya maafisa 17 wa kitengo cha polisi wa utawala waliouawa kwenye mashambulizi kaskazini mashariki katika mashambulizi tofauti , Nkaiserry amedokeza kuwa mashambulizi hayo hayatokatiza tamaa vikosi vya usalama.

Tags:

lamu Al Shabaab garissa Mandera Joseph Nkaissery Polisi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories