Polisi waliomuua Kwekwe Mwandaza washindwa kwenye rufaa


Polisi waliomuua Kwekwe Mwandaza sasa wataekea jela kutumikia kifungo cha miaka saba baada ya kushindwa kwenye kesi ya rufaa. Mwandaza aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa nyumbani kwao huko Kinango mwaka wa 2014. Kwa taarifa hiyo na nyingine kutoka mahakamani huu hapa mkusanyiko wa taarifa za kortini.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: MPs threaten to slash NYS budget

Story By Simon Kigamba
More by this author