Polisi wamzingira Wanjigi

Bastola 6 zilipatikana katika nyumba ya mfanyibiashara mashuhuri na bilionea Jimmy Wanjigi iliyokuwa ikipekuliwa na maafisa wa polisi eneo la Muthaiga humu jijini Nairobi.
Bastola hizo ambazo zinasemekana kuwa na vibali halali kwa jina la mfanyibiashara huyo, zilichukuliwa na maafisa wa Flying Squad waliokuwa wakiongoza oparesheni hiyo.
Haya yanajiri huku mahakama kuu ikiamuru maafisa kusitisha oparesheni hiyo na kumwachilia huru Wanjigi iwapo watampata.

Tags:

Police James Orengo Muthaiga Jimmy wanjigi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories