Polisi wanaolinda maonyesho ya kilimo waugua Kipindupindu


Maafisa wanne wa polisi wamefikishwa katika hospitali ya Mbagathi hapa jijini baada ya kuonyesha dalili za kuwa na maradhi ya kipindupindu. Kwingineko wauguzi wameandamana mjini Mombasa kupinga kauli ya waziri wa afya Cleopha Mailu kwamba serikali itawafuta kazi wauguzi wanaogoma.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Makori Ongechi
More by this author