Polisi watumia vitoa machozi kutawanya vijana mjini Kisumu


Hali ya vurugu ilishuhudiwa mapema Jumatano mjini Kisumu baada ya vijana waliojawa na hamaki kuvamia kundi la wanawake waliokuwa kwenye mkutano wa kidini katika hoteli moja mjini humo. Vijana hao walilivamia kundi hilo la wanawake kwa madai kwamba kulikuwa na watu waliokuwa wakinunua vitambulisho kutoka kwa wenyeji kabla ya uchaguzi baadaye mwezi Oktoba.

 

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: The Fresh Look 9PM Bulletins... #ThisIsTheStory

Story By Kadzo Gunga
More by this author