Polycarp Igathe ajiuzulu kama naibu gavana wa Nairobi


Naibu gavana katika kaunti ya Nairobi Polycarp Igathe amejiuzulu. Igathe amesema kuwa ameshindwa kupata imani kutoka kwa gavana wa jiji Mike Sonko. Kujiuzulu kwa Igathe kumejiri kufuatia manunguniko baada ya uchaguzi uliopita.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Stephen Letoo
More by this author