Prof Labana Ayiro akalia kiti,mahafala yatafanyika Ijumaa

Sherehe za kufuzu kwa mahafali zitaeendelea kama zilivyoratibiwa siku ya ijumaa kwenye chuo kikuu cha moi. Hayo yamesemwa kwenye hafla ya kumpa nafasi profesa labana ayiro kuwa naibu chansela wa chuo hicho na mtangulizi wake Profesa Richard Mibey ambaye anakamilisha muhula wake wa kuhudumu wa miaka 10. Hayo yanajiri huku waziri wa elimu dokta fred matiangi akitetea uteuzi wa profesa ayiro.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories