Punda wanaibwa na kuchunwa ngozi Turkana

Wakazi wa Turkana wanataka ujenzi wa kichinjio cha punda usitishwe kwa sababu wezi wanawaibia punda kwa wingi. Kulingana nao, wahalifu wanatia maji sumu kusudi punda wakinywa maji hayo wakufe ili wawachune ngozi inayonunuliwa kwa shilingi elfu kumi na kampuni moja ya uchina.

Tags:

turkana china punda

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories