Raia wa Zimbabwe wataka Mugabe ajiuzulu

Maelfu ya raia wa Zimbabwe walijitokeza hii leo kwenye barabara ya jiji la Harare wakimtaka Rais Mugabe kutoka mamlakani. Kulingana nao, wamechoshwa na utawala wa udikteta.

Tags:

Zimbabwe mugabe

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories