Raia wateketeza matatu ya Rongai

Kijana wa umri wa miaka 21 ameaga dunia baada ya kugongwa na matatu ya abiria iliyokuwa ikitoka Rongai na kuelekea jijini Nairobi. Hata wahudumu wa bodaboda waliiteketeza matatu hiyo papo hapo wakidai kuwa dereva wa matatu hiyo ya shirika la Rongao ndiye aliyekuwa na makosa. Polisi wamempatia mmiliki wa matatu hiyo muda wa siku saba amwasilishe dereva wa gari hilo kwenye kituo cha polisi kwani alitoroka baada ya kusababisha ajali.

Tags:

rongai Rongao

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories