Raila: 10% ya mapato ya mafuta ibaki Turkana

Kwa siku ya pili sasa vigogo wa chama cha ODM wameendeleza kampeni za upinzani katika kaunti ya Turkana, huku siasa za rasilimali ya mafuta iliyoko katika eneo la ngamia kaunti ya Turkana zikionekana kuchacha katika mikutano ya leo. Viongozi hao wameishutumu serikali kwa kuhujumu mswada bungeni unaopania kuipa kaunti hiyo asilimia kumi ya mapato kutoka kwa rasilmali hiyo.

Tags:

raila odinga turkana

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories